Kama package basi fesal anapackage nzito iliyojaa maana amefanya vizur yanga na pia akaibeba na azam na hapo alikaaa miiezi kazaa bila kucheza mpira.........Mchezaji ni package sio tukio
MVP wa ligi kuwa Aziz mume wa mobeto ni sawa kabisa. Silalamiki Fei kuwa MVP wa FAKama package basi fesal anapackage nzito iliyojaa maana amefanya vizur yanga na pia akaibeba na azam na hapo alikaaa miiezi kazaa bila kucheza mpira.........
Hii italiinua soka letu, maana ligi yetu inatazamwa na wengi nje ya mipaka, wanafuatilia performance za wachezaji wetu mmoja baada ya mmoja; wanawajua. Isingiwezekana Diara na Aziz Ki wakose tuzo bila watu kutubeza na kututukana na hata kuidharau ligi. MiMi nimeridhishwa na utoaji wa tuzo hizi msimu huu kwa 98% . Karia oyeee kwa hili kwa tuzo ku reflect kilichotokea kwenye msimu. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe.Aziz ki ndo MVP