Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Tuwekee kivuli ukionesha mpira umevuka goal lineEti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
HahahahaEti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
sasa ikawaje ikawa kona, kama haikuvuka laini ingekuwa sio gori basi lkn ikaenda kuwa kona
Ndio tumshangae mshika kibendera kwanini aweke kona wakati mpira haukutoka nje. Na baada ya metacha kuutema ule mpira maamuzi ya refarii wa kati ilikuwa ni goal kick, wachezaji wa Lipuli wakapaniki kuwa lilikuwa ni goal na sio goal kick. Baada ya hiyo taharuki, refa wa kati akabidi mfate mshika kibendera amsikilize maamuzi yake kwa alichokiona cha ajabu mshika kibendera ndio kazua taharuki zaidisasa ikawaje ikawa kona, kama haikuvuka laini ingekuwa sio gori basi lkn ikaenda kuwa kona
Picha imekuwa doctored..ni rahisi kabisa kwa mtaalamu kuliona hili...doctoring ni kosa la jinai leteni original hapa...Eti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
Hii ni dhahiri shahiri ila wangekua Simba wamebebwa... Lakini hii ni konaEti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
. Yaan mmefikia hatua ya kutengeneza picha kufunika utumbo wenu Mikia? Kwa Kila alietazama gem ya Jana sifikirii kama anaweza kupoteza muda na utumbo huh.Nasema hivii. "WEKA VIDEO clip"Eti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
NAHILIIIJE LOHEti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
Wewe mwenye original ndio ulete, sio uagize uletewe halafu useme tena si originalPicha imekuwa doctored..ni rahisi kabisa kwa mtaalamu kuliona hili...doctoring ni kosa la jinai leteni original hapa...
Kama hili?Wenye maboriti machoni mwao hawaoni ya wenzao
Hii haikuwa kona wala halikuwa goli. Nadhani refa na mshika kibendera wana matatizo ya machoEti kama hii iligeuka kuwa kona badala ya goliView attachment 1348283
Tanzania Football Federation inaongozwa na raia wa Somalia na Burundi. Tuanze kurekebisha hilo.Wakuu naomba kuuliza. Hivi TFF hawaoni madudu yanayoendelea katika League ya Mpira wa Miguu Tanzania?
Timu zinapewa ushindi kwa makosa ya wazi.
Wachezaji kuwa offside. Muda wa nyongeza kuzidishwa ili kufanikisha ushindi wa timu husika. Hii ni hatari kwa Mustakabali wa mpira wa Tanzania.
Madhara yake:
1. Kuua soka la ushindani
2. Kuwakatisha tamaa mashabiki wa mpira kutohudhuria kwa wingi uwanjani
3. Waamuzi wetu (Referees) kutoaminiwa katika mechi za kimataifa
Suluhu:
1. PCCB kuchunguza tuhuma hizi kama kuna michezo michafu inahusika kuzinufaisha baadhi ya timu
2. BMT kuingilia kati