Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Wakuu naomba kuuliza. Hivi TFF hawaoni madudu yanayoendelea katika League ya Mpira wa Miguu Tanzania?
Timu zinapewa ushindi kwa makosa ya wazi.
Wachezaji kuwa offside. Muda wa nyongeza kuzidishwa ili kufanikisha ushindi wa timu husika. Hii ni hatari kwa Mustakabali wa mpira wa Tanzania.
Madhara yake:
1. Kuua soka la ushindani
2. Kuwakatisha tamaa mashabiki wa mpira kutohudhuria kwa wingi uwanjani
3. Waamuzi wetu (Referees) kutoaminiwa katika mechi za kimataifa
Suluhu:
1. PCCB kuchunguza tuhuma hizi kama kuna michezo michafu inahusika kuzinufaisha baadhi ya timu
2. BMT kuingilia kati