TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

Umaskin wa vilabu unatokana na uzembe wa viongoz wa klabu husika,wengi wao si wabunifu wanategemea kwa kiwango kikubwa ufadhil wa NBC na azam pamoja na mapato ya mlangon tu
 
Sijaisoma yote ila hao dstv na hzo channel nyingine walikataa kurusha matangazo ya ligi ya bongo wakidai haina malipo leo imekuwa imara wanaleta unafiki wao wakutaka kurusha hakuna chizi atakae Kubali wakae na hela zao tubaki na njaa zetu.
 
League yetu inahadhi ya kugombaniwa na hizo TV’s ?
Hizo TV’s zimelalamika kwamba zimenyimwa haki ya kurusha league?
Baada ya zabuni kutangazwa zilijitokeza kuomba?
 
Unataka niambie Dstv wangeshindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tv hapa bongo yenye uwezo wa kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mpira zaidi ya azam,, unajua bei ya camera moja tu pale uwanjani?? Mana umeandika kwa chuki na ghababu au wewe unajua tff ndio wanarusha mpira?? Hizo tv hata kama zitapewa hiyo haki lkn sharti wajiunge na azam kurusha hayo matangazo la sivyo wafunge camera zao uwanjani na ndio maana hili jambo linakuwa gumu,,,
 
ALAFU USIKUTE MTOA POST AMECHUKIA KUFUNGWA GOLI MOJA NA AZAM
 
Kinachotia kichefuchefu ni mkataba wa miaka 10, tff kuchukua asilimia 20 badala ya 10 kama inavyotakiwa.
 
Kurusha matangazo walishindanishwa na tangazo liliwekwa humu tafuta utaliona
 
Azam ni kama maji usipo itumia kwako utaitafuta hata kwa kibanda umiza shwaini
 
Hakuna kituo chenye camera wala ujuzi wa kurusha mpira live zaidi ya azam acha ujinga
Azam wenyewe Wana camera za kizamani,angalia picha zao zinavyoonekana zimefifia rangi,
 
Channel mbona zinazidi kuongezwa kwanzia jana tarehe 1 imeeongezwa channel mpya Azam sportHD3 imewashwa
 
Huyo mwanamke alikuwa amekondaaa.
Kapata bwana kamnenepesha anapendeza mnamuona mzuri.
Jiulize Kati ya Azam tv na DStv Nani wa kwanza kuingia BONGO?
ukipata jibu Rudi
 
kitendo ch kutuandikia kwa herufi kubwa hiyo ni sawa na kutufokea, huna adabu.
 
Azam wenyewe Wana camera za kizamani,angalia picha zao zinavyoonekana zimefifia rangi,
Azam gani yenye camera za kizamani unayo izungumzia wewe? Azam channel zote za Mpira ni HD hakuna picha inayofifia ila ni mandhari na pitch mbovu ya viwanja vya mikoani
Alafu uache kutumia TV za chogo ndo maana unaona picha zinafifia kumbe tatizo ni we mwenyewe
 
exactly. niliwahi kuambiwa sababu za dstv kukosa kushinda tena ya kuonyesha mpira wa
miguu tz.

moja ya kigezo cha kukosa kwao tenda kinatokana na maelezo uliyotoa hapo juu. ni kwamba dstv ili base kwenye kuonyesha potential match tu za simba, yanga na azam.
 
Kwenye muongozo wa kutumia jf, kipengele namba 3 kinaeleza kuhusu matumizi ya herufi kubwa! Sasa kinapokiukwa sijui ni kwa nini mods hawachukui hatua…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…