Kwa hiyo sasa Yanga hawana kisingizio, itabidi waingize tu timu, hakuna namna. Chochote kitakachotokea kitaingia kwenye rekodiSiasa za soka hizo, hapo kilichopo ni kuwa tff wamewafungulia adhabu hao ili wananchi wakubali kuingiza timu tarehe 3...
Ukitazama kwa mbal unaona Kama vile yanga waliweka demand ili wacheze match.. nahii ilikuwa fursa ya siasa ya mpira.. kwa kufunguliwa mwakalebela unaona kabisa yanga wamelamba dume ktk mchezo.. Sasa kilichobaki ni je hyo patapotea ya tff itazaa matunda??Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha Katabazi Amefungiwa Maisha Kujihusisha na Soka Ndani na Nje Ya Nchi.View attachment 1828638
Kwahiyo sasa wataingiza timu baada ya kuwa pleasedSiasa za soka hizo, hapo kilichopo ni kuwa tff wamewafungulia adhabu hao ili wananchi wakubali kuingiza timu tarehe 3, ukifuatilia mpira utajua nini kinaendelea kati ya tff na wananchi. Tff wamevunja kanuni na wananchi wapo sahihi kulingana na kanuni hivyo lazima tff wawapliz yanga kwa namna yoyote ikiwemo hiyo ya kuwafungulia viongozi wake.