Tff na Mwakalebela Wamalizana, Mwakalebela Afutiwa Adhabu Zote Alizopewa na Tff, Kocha Katabazi afungiwa Maisha Kujijusisha na Soka.

Tff na Mwakalebela Wamalizana, Mwakalebela Afutiwa Adhabu Zote Alizopewa na Tff, Kocha Katabazi afungiwa Maisha Kujijusisha na Soka.

Mwakalebela aliomba radhi mwenyewe akakiri makosa yake, sema amesamehewa yule utopolo mropokaji.
 
Siasa za soka hizo, hapo kilichopo ni kuwa tff wamewafungulia adhabu hao ili wananchi wakubali kuingiza timu tarehe 3...
Kwa hiyo sasa Yanga hawana kisingizio, itabidi waingize tu timu, hakuna namna. Chochote kitakachotokea kitaingia kwenye rekodi
 
Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha Katabazi Amefungiwa Maisha Kujihusisha na Soka Ndani na Nje Ya Nchi.View attachment 1828638
Ukitazama kwa mbal unaona Kama vile yanga waliweka demand ili wacheze match.. nahii ilikuwa fursa ya siasa ya mpira.. kwa kufunguliwa mwakalebela unaona kabisa yanga wamelamba dume ktk mchezo.. Sasa kilichobaki ni je hyo patapotea ya tff itazaa matunda??

Mfano yanga wakibaki kwenye kanuni.. ni rahis tu watakuwa wamevua nguo na mkeka umechanika.. ila yanga wakikubali wakashinda hyo tr3 means tff watakuwa wamepumua kwa upande wao..

Ngoma itakuwa mbichi kwa yanga ikiwa watafungwa.. kimsing uongoz utaondoka kwa bakora.. Sasa kila mtu anamkeka wake.. tff vs yng
Simba yy anakuala ice cream.. tu.. hana Cha kupotezea..

Hi ngoma ttf wameingia Chaka wakakubali kikubwa.. Sasa Chaka linawahusu yanga Sasa.. ngoja tuone
 
Siasa za soka hizo, hapo kilichopo ni kuwa tff wamewafungulia adhabu hao ili wananchi wakubali kuingiza timu tarehe 3, ukifuatilia mpira utajua nini kinaendelea kati ya tff na wananchi. Tff wamevunja kanuni na wananchi wapo sahihi kulingana na kanuni hivyo lazima tff wawapliz yanga kwa namna yoyote ikiwemo hiyo ya kuwafungulia viongozi wake.
Kwahiyo sasa wataingiza timu baada ya kuwa pleased
 
Back
Top Bottom