Hahahah watakomaHawajuiii hawatujuiii kigomaaaa tutawakojoleshaaaaaa sanaatu
Sisi siyo Kama nyie wazee wa kuchungulia na Kigoma kijanja.Utopolo timu la ajabu sana!
Yaani viongozi wanawatuma wachezezaji wakavunje mageti kabisa!
Hiyo faina iliyopigwa utopolo ni ndogo sana!
Huko kigoma labda mgomee mechi!
Nia ya kukupigia tunayo, uwezo wa kukutwanga tunao na sababu ya kujifanya mbaya tunayo. Tukutane Lake TanganyikaLipeni na magoli mkapigwe mengi
Sawa ila usipotee kama janaNia ya kukupigia tunayo, uwezo wa kukutwanga tunao na sababu ya kujifanya mbaya tunayo. Tukutane Lake Tanganyika
Jana nilipoteaje mdau, wewe ndiyo ulipotea jmosi baada ya kukatwa govi bila ganzi. Na bado subiri hiyo ya Kigoma ndiyo utaelewa kuwa.Sawa ila usipotee kama jana
Muwe na maneno ya akibaMAITI AIJIZIKI LAZIMA TUKAZIKIE KIGOMA HAMNA JINSI
Nyie mnayo? Au umelitambua Leo Hilo la kuweka akiba maneno. Pumbu xinskatwa Kigoma labda ukimbie Kama tarehe 8 ndiyo itakuwa salama yakoMuwe na maneno ya akiba