Tff na Upangaji Wa Ratiba Ya Ligi Ya Tz

Tff na Upangaji Wa Ratiba Ya Ligi Ya Tz

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Moja ya malalamiko makubwa ya wadau wa mpira ni pamoja na ratiba mbaya ya ligi.
SASA hapa tunaona jinsi ambavyo hata muda unakuwa tatizo. Fikiria Kesho ni siku ya kazi halafu mpira unachezwa saa nane hivi tunategemea watu kuwepo uwanjani kutazama au tunakamirisha ratiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karia anadhani anaisaidia simba kumbe anadidimiza soka la tanzania
Hovyo kweli huyu kiumbe
 
Back
Top Bottom