Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Jamal MalinziWana body ktk hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka tff wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie
Cc Jamal MalinziMbarikiwa Mollel;Hii nchi kila anaetaka kula anakula tu, taifa stars wameshindwa kuivusha afcon karibu miaka 40, timu za vijana hazieleweki, ligi ya wanawake ndio kabisaaa, yaani hawa watu wa tff wananiboaga basi tu.
kwel mkuu! awa jamaa wezi tu!
Wana body katika hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka TFF wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie
Mmawia programu zote za TFF tunazozifanya ni mwendelezo wa program za mpira zinazofanywa na nchi zote duniani.Duniani sasa hivi FIFA msisitizo ni women football FUTSAL na Beach soccer.Kwa kufanya haya tunayoyafanya kuanzisha women Taifa cup,program ya Taifa watoto U13 na U15,kuwa wenyeji fainali za Afrika U17 2019,kuanzisha ligi ya kitaifa daraja la pili,kurudisha Taifa cup wanaume (inarudi),kuanzisha sports centres mikoa yote Tanzania,kutoa kozi nyingi za waamuzi ,makocha na watawala yote hii ni muendelezo wa kuhakikisha mpira wa miguu wa aina zote unachezwa nchini kote wakati wote.
Napita
Duuhh!!! Aisee we mtu ni balaa!!naborauptempwanamanakehatahatutawezakukuelewaweweunaongeaunayoyajuamwenyewebwanamkswjnhbxqqnn