TFF na vichekesho

TFF na vichekesho

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wana body katika hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka TFF wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie
 
Hii nchi kila anaetaka kula anakula tu, taifa stars wameshindwa kuivusha afcon karibu miaka 40, timu za vijana hazieleweki, ligi ya wanawake ndio kabisaaa, yaani hawa watu wa tff wananiboaga basi tu.
 
Mbarikiwa Mollel;Hii nchi kila anaetaka kula anakula tu, taifa stars wameshindwa kuivusha afcon karibu miaka 40, timu za vijana hazieleweki, ligi ya wanawake ndio kabisaaa, yaani hawa watu wa tff wananiboaga basi tu.

kwel mkuu! awa jamaa wezi tu!
 
Cc Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Wana body katika hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka TFF wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie

Mmawia programu zote za TFF tunazozifanya ni mwendelezo wa program za mpira zinazofanywa na nchi zote duniani.Duniani sasa hivi FIFA msisitizo ni women football FUTSAL na Beach soccer.Kwa kufanya haya tunayoyafanya kuanzisha women Taifa cup,program ya Taifa watoto U13 na U15,kuwa wenyeji fainali za Afrika U17 2019,kuanzisha ligi ya kitaifa daraja la pili,kurudisha Taifa cup wanaume (inarudi),kuanzisha sports centres mikoa yote Tanzania,kutoa kozi nyingi za waamuzi ,makocha na watawala yote hii ni muendelezo wa kuhakikisha mpira wa miguu wa aina zote unachezwa nchini kote wakati wote.
 
Ndugu yangu Malinzi mimi ki ukweli nina amini kabisa kwamba wewe ni mwana michezo haswa, hasa kwa kuangalia nini unayafanyia taifa na pale nyumbani kwako kasambya ulivyojenga viwanja nyumbani kwako nakupa salute, mimi ni jirani yako hapo kwetu ni kaiyemba.Ila shutuma zangu si kwako ila ni kwa mfumo mzima wa taifa!, wanaedesha vipi soka? Serikali inawajibika vipi ili kuinua soka letu? Siyo wewe Malinzi tutakuinea bure.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom