TFF na ZFF zimejaa Rushwa, tuzidi kuziripoti moja kwa moja FIFA na CAF

FIFA is worse than TFF
 
TFF Haina shida..mwenye shida ni wewe mwenye njaa. Umebaniwa huko unataka tuamini kuwa kuna shida. Mpira na mchezo wa soka umetulia na mafanikio yanaonekana kwa vilabu na timu za taifa.

Acha majungu..tafuta kazi nyingine ya kukuingizia kipato
 
wa Africa na kupenda incompetence 🚮🚮.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…