Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Nawasilisha
Kwahiyo kumbe huyo jamaa ana nyeti mbili?Huyu nae achunguzwe.
Hii ni mifano tu ambao huwa nasema hapa mara kwa mara kuwa kuna hormones imbalance . Na Raia weng hawaelewi.
Huyu anayo k bila shaka.
Ila hormones zake uwiano % nying zaid zimeelemea upande wa Kiume. Ndio maana hata matiti hayatoki.
Ila opposite ni wale wanakuwa na uume ila wanaota matiti na kuwa na umbo kama wanawake na hivyo inabidi kujidai ni wanawake tu kumbe sio wanawake.
Kwahiyo atakuwa na nguvu na tabia za kiume na anaweza hata kusaga wanawake wenzake kisa ana uboo cocastic .
Hii nayo unaitaje? Maana na ww sikuelewagi bro.
Wala sio shida hii si anapewa tu hormonal depressants za Testosterone. Na baadae kupewa vidonge vya Progesterone ili uanamke ujae zadi.Huyu nae achunguzwe.
Hii ni mifano tu ambao huwa nasema hapa mara kwa mara kuwa kuna hormones imbalance . Na Raia weng hawaelewi.
Huyu anayo k bila shaka.
Ila hormones zake uwiano % nying zaid zimeelemea upande wa Kiume. Ndio maana hata matiti hayatoki.
Ila opposite ni wale wanakuwa na uume ila wanaota matiti na kuwa na umbo kama wanawake na hivyo inabidi kujidai ni wanawake tu kumbe sio wanawake.
Kwahiyo atakuwa na nguvu na tabia za kiume na anaweza hata kusaga wanawake wenzake kisa ana uboo cocastic .
Hii nayo unaitaje? Maana na ww sikuelewagi bro.
Kwahiyo kumbe huyo jamaa ana nyeti mbili?
Najuaga ni kariba ya kina anko T kumbr naye yumo? Basi TFF mchunguzeni na huyu cocastic
Ligi kuu ya wanawake wapo wengi tu kama hilo dume la simba
Yaani hawa inatakiwa wasiruhusiwe kushindana na wanawake.
Kuna wengine ukiangalia tu unajua huyu demu tu
Tatizo ni wee hutaki kunielewa aidha kwa makusudi au laah huelewi mambo.Goba kuna Shoga mmoja anaitwa Amina. Anawekaga breech kichwan.
Pia anapendaga kuzurula Kawe. Mweupe na ni mrefu.
Wenyej watakuwa wanamjua.
Ana mauno sana 😂😂😂 ukikutana nae usiku na pombe zako kama haumjui unatongoza kabisa. Ni binti mzur na pia hana ndevu kama haszu .
Ila Ni mwanaume na Ana uume kabisa (sio transgender). Ila ana vaa madela tangu akiwa mdogo na hadi Sasa ana miaka 25+. Kucha anaweka rangi.
Na pia huwa analala na wanawake wahudumu kwenye magheto maana huwa anaunga urafiki na wahudumu wa hizi bar ndogo ndogo. Na wao wanamchukulia kama mwenzao.
Ni shoga miaka wa miaka.
Utasema na yeye ni nini kimemfanya awe hivyo? cocastic
Ndio kawa shoga. Wanaomjua watakukuja kushuhudia.Huyo Amina, sio binti ni kijana, umesha sema ana uume, na hana jinsi ya kike.
Hivyo vyote ulivyo visema havimfanyi yeye awe Shoga (msenge).
Hapa ndio napishana na ww.Hormonal imbalances haimfanyi mtu mwanaume awe shoga,
Wanaume wote waliolelewa mazingira ya hapo kwenu wamekuwa mashoga?.hii inachagizwa na jinsi maisha ya mtaani kiuhalisia hapa kwetu
Hormonal imbalances haimfanyi mtu mwanaume awe shoga, ni malezi, mazingira, mindset na maamuzi binafsi ya muhusika ndizo zinafanya mtu aangukie ktk hiki kitu.
Kuto kunielewa kwako kuna tokana na wee kutaka kusikia kile ambacho wee unataka au unapenda.Huyu nae achunguzwe.
Hii ni mifano tu ambao huwa nasema hapa mara kwa mara kuwa kuna hormones imbalance . Na Raia weng hawaelewi.
Huyu anayo k bila shaka.
Ila hormones zake uwiano % nying zaid zimeelemea upande wa Kiume. Ndio maana hata matiti hayatoki.
Ila opposite ni wale wanakuwa na uume ila wanaota matiti na kuwa na umbo kama wanawake na hivyo inabidi kujidai ni wanawake tu kumbe sio wanawake.
Kwahiyo atakuwa na nguvu na tabia za kiume na anaweza hata kusaga wanawake wenzake kisa ana uboo cocastic .
Hii nayo unaitaje? Maana na ww sikuelewagi bro.
Nini tafsiri ya urijali? Tuanzie hapo kwani.Ndio kawa shoga. Wanaomjua watakukuja kushuhudia.
Hapa ndio napishana na ww.
Mwanaume hawez kuzaliwa akiaa rijali na akataman kuingiliwa . Never.
Wanaume wote waliolelewa mazingira ya hapo kwenu wamekuwa mashoga?.
Kama sio wote. Bas jua hao waliokuwa mashoga walitaman kuwa hivyo coz walizaliwa na kutaman kuingiliwa.
Napishana na ww kwenye hili. Labda usema ugumu wa maisha ila sio hizi factor zako.
Its doesnt make sense aisee
Nitajie chache shemej.afu kuna factor nyingi zinazoweza fanya mtu atamani kuwa fucked-up,
Nimesoma boys form 1-6.kuna shule, hasa boarding. Etc.
Amina tunasikia tangu akiwa shule ya msing alikuwa ana vaa bukta ila anaingia choo cha kike had anachapwa na kukazimishwa kuingia cha kiume.Huyo Amina amekua Shoga kwa matakwa na maamuzi yake, wala sio unacho zungumzia wee ni UONGO.
TFF wanichunguze mie kwani ni mchezaji? Wa team ipi? Afu mbona mie sina utata ktk jinsi niliyonayo.Kwahiyo kumbe huyo jamaa ana nyeti mbili?
Najuaga ni kariba ya kina anko T kumbr naye yumo? Basi TFF mchunguzeni na huyu cocastic
Ligi kuu ya wanawake wapo wengi tu kama hilo dume la simba
Yaani hawa inatakiwa wasiruhusiwe kushindana na wanawake.
Kuna wengine ukiangalia tu unajua huyu demu tu
Unaona sasa? Kwahiyo kuvaa vibukta, na kuingia choo cha kike, au kuwa kirafiki na wanawake, ndo kumemfanya awe msenge? Aliweza kufanya hayo yote na bado asingekua msenge, INAWEZEKANA.Nitajie chache shemej.
Nimesoma boys form 1-6.
A level nimemaliza Azania.
Amina tunasikia tangu akiwa shule ya msing alikuwa ana vaa bukta ila anaingia choo cha kike had anachapwa na kukazimishwa kuingia cha kiume.
Kama utatakiwa kufanyiwa uchunguzi wowote ule wa kibaiolojia, basi uwaambie una daktari wako maalum wa kukukagua, na ambaye ni mimi hapa! Sawa?TFF wanichunguze mie kwani ni mchezaji? Wa team ipi? Afu mbona mie sina utata ktk jinsi niliyonayo.
Unajua haya yote yanatokea kwa kuwa nyie mko so obsessed na muelekeo wa kingono kwa muhusika, ndo maana manjegeka haya yanawaka, mbona huko nchi za wengine hakuna hizi heka heka? Lol
😂😂😂😂😂