Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Akipewa adhabu utafurahi ee??UTAPELI TU,mbona kina manara hawapewi adhabu[emoji23]
TFF wanaofungiwa ni kwenye shughuri zinazohusu mpira na si mambo yahusuyo jamii nje ya mpira unaosimamiwa na TFF.Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.
Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.
Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.
Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.
Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.
View attachment 2662865
TFF ya sasa ni ya hovyo kuliko hata FAT ya ndolongaShirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.
Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.
Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.
Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.
Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.
View attachment 2662865
Juzi nimekunywa chai Kwa Shafii Dauda, nimekwisha Aisee!!!Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.
Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.
Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.
Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.
Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.
View attachment 2662865
Ni kawaida yangu kushirikiana na watu Wenye akili. Hongera Mkuu umeweka ushabiki pembeni na kusema ukweli. Yaani Leo Mimi nifungiwe kisa Jana nimekunywa chai Kwa Shafii Dauda? Ile sherehe ya Yanga iliratibiwa na TFF?Kuna PAHALA TFF inafeli.
MTU aliyefungiwa Mpira anaruhusiwa kujihusisha na mambo ya kijamii Ile ni Charity.
Simkubali Haji lakini kwa mambo ya kijamii ni Ruksa.
TFF ONDOKENI HUO USINGIZI MZITO SANA