TFF: Ni kosa kushirikiana na wadau waliofungiwa kujihusisha na Soka

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.

Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.

Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.

Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.

Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.

IMG_7662.jpeg
 
View attachment 2662865
TFF wanaofungiwa ni kwenye shughuri zinazohusu mpira na si mambo yahusuyo jamii nje ya mpira unaosimamiwa na TFF.
 
Haji Manara afungiwe maisha kujihusisha na .mchezo wa mpira wa miguu. Ameidharau TFF kiasi kikubwa mno,na pia ametengeneza uhasama mkubwa kati ya vilabu vya Simba na Yanga hadi kuondoa ule utani wa jadi tuliouzoea. Huyu jamaa ugomvi wake na aliyekuwa CEO wa Simba na Mo Dewji ameufanya kuwa ugomvi wa taasisi mbili hizi za Simba na Yanga na kwa kiasi fulani amefanikiwa. Huyu hafai tena kuwa mdau wa Familia ya mpira wa miguu.
 
Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.

Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.

Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.

Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.

Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.

View attachment 2662865
TFF ya sasa ni ya hovyo kuliko hata FAT ya ndolonga
 
Tatizo la Manara ni very sensitive wakati yy mwenyewe mkorofi,anawatania watu kwa vitu personal na anapenda kutumia ulemavu wake ili aonewe huruma.

Uzuri wa utani wa mpira husimtanie mtu personal ila mtania kupitia mambo ya kijinga au uzembe wanao ufanya au kupitia hata historia/rekodi yao kwenye mpira.Ukimwona mtu mnataiana kuhusu mpira then akaanza kukuattack ww binafsi, wengi wao sio watu wa mpira.
 
Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.

Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.

Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.

Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.

Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.

View attachment 2662865
Juzi nimekunywa chai Kwa Shafii Dauda, nimekwisha Aisee!!!
 
Kuna PAHALA TFF inafeli.

MTU aliyefungiwa Mpira anaruhusiwa kujihusisha na mambo ya kijamii Ile ni Charity.

Simkubali Haji lakini kwa mambo ya kijamii ni Ruksa.

TFF ONDOKENI HUO USINGIZI MZITO SANA
Ni kawaida yangu kushirikiana na watu Wenye akili. Hongera Mkuu umeweka ushabiki pembeni na kusema ukweli. Yaani Leo Mimi nifungiwe kisa Jana nimekunywa chai Kwa Shafii Dauda? Ile sherehe ya Yanga iliratibiwa na TFF?
 
Back
Top Bottom