TFF pigeni marufuku Ile shangilia ya Tariq Seif

TFF pigeni marufuku Ile shangilia ya Tariq Seif

Nikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia.

Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi Hawa vijana wa u-20, wa hizi Timu za ligi kuu wameiga.

Ni aina ya ushangiliaji wa udhalilishaji na kukosa heshima, Naomba TFF na wadau wote wa fair play tuipinge hii style kuelekea msimu mpya wa soka.

AHSANTENI
Huu uzi bila picha ni majungu
 
IMG_3680.jpg
 
Back
Top Bottom