Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Ajibu ni mchezaji wa mikia fc anacheza Ndondo. Angalia post yangu uone niliyem_quote.Naweka kumbukumbu sawia.. Maguri na Chanongo ni wachezaji wa Stand United, na si Simba S.C.
Wachezaji gani wa Mnyama wanaocheza Ndondo?
kwa maelezo haya,sina shaka wewe ni mbumbumbu fc
Wachezaji wetu nao ni tatzo.. Yote ni tamaa tu.. lakini TFF nao ni tatizo zaidi. Wao ndio walezi na wasimamizi wa soka letu. Hivi vitu wanaviona vidogo ila vinatugharimu sana. Shirikisho makini haliwezi kuruhusu hii kitu.ila huu ni ujinga.. wachezaji hawajitambui kabisa..
hivi mchezaji wa ligi kuu unacheza ndondo ukiumia nani anakutibia??
Ndemla anacheza ligi ya mbuzi apa kijitonyama shimoni shule ya msingi ,wengine majina siwajui ila golikipa wa akiba wa ruvu, beki wa kati wa mtibwa na mchezaji azam kiungo mkabaji babayake alisha wahi kuwa mchezaji wa timu ya taifa miaka ya nyuma uko,Naweka kumbukumbu sawia.. Maguri na Chanongo ni wachezaji wa Stand United, na si Simba S.C.
Wachezaji gani wa Mnyama wanaocheza Ndondo?