TFF, Refa na Yanga walipanga matokeo mechi ya Simba na Yanga

TFF, Refa na Yanga walipanga matokeo mechi ya Simba na Yanga

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Nadiriki kuamini kuwa Mchezo wa Simba Na Yanga matokeo take yalipangwa.Kwanza TFF ilimpanga REFA ambaye alikuwa amefungiwa kwa makosa ya kushindwa kuchezesha Kwa mwaka 1.
REFA huyo alikuwa karibu Na mfungaji wa BAO la MKONO lakini Kwa matakwa yake alikubali GOLI.
REFA alikataa GOLI la Mchezaji Ajibu Kwa madai ya Offside wakati haikuwa kweli.Naomba wshusika tuuangalie Mchezo huo upya tubaini Ukweli tu.Kama TFF itaendelea Na Ushabiki Wa Klabu kuna Hatari ya Mauaji kutokea kwenye Viwanja vya Mpira.
 
Yanga miaka yote wanabebwa na TFF Malinzi si alikuwa mwenyekiti wao??
 
Kwa hiyo viongozi wa Simba walikua viongozi wa TFF waliibeba Simba kipindi hicho?
 
Soka letu limepatwa na mtikisiko mkubwa sana.

Ukishazoea kununua mechi sasa matokeo yake ata ukienda kuwakilisha nchi utafungwa tu.

Msimu uliokwisha walimnunua Kessy na yule mwamuzi,

Safari hii kila mtu kaona ile fedheha,

Jana sio mwamuzi wa kati ata wale wa pembeni,

wote walikwisha pewa maelekezo ya mechi ile,

Hii pia ni fedheha sana kwa TFF hawawezi kukwepa lawama.
 
Nakumbuka alivyoongizwaga cha kike na Victor Costa, mzigo akachukua na bado hakwenda huko na akatinga mazoezini na jezi imeandikwa MALINZI mgongoni.
Alafu sasa eti ndo rais pia wa tff ya kagera, huu ni upuuzi wa kiwango cha premier league.
Malinzi hovyo kabisa yule, hana sifa za uongozi
 
Jinga sana Malinzi, hana nia nzuri na soka la Tanzania zaidi ya kupiga hela
 
Malinzi hafai tena
Ni kweli hii inaweza kuleta maafa uwanjani,
Watu wengine hawawezi kujizuia kwa upumbavu kama ule
 
Mchawi wa soka bongo ni TFF ndio maana wakifika mambele wanaaibika tu kwa sababu wamezoea kubebwa
 
Kama kuna watu wenye akili serikalini walio na dhamana ya kusimamia usalama wa raia,nawaomba waone hatari inayotengenezwa na hawa waamuzi iwe kwa maelekezo ama mapenzi binafsi ya timu.Kuna siku yatatokea mauaji yasiyosemeka humo uwanjani kwani hakuna kitu kigumu kuzuia kama hasira zinazotokana na hisia za kuonewa katika mpira.Kama mtu anaamua kujiadhibu yeye mwenyewe kwa kujiua baada ya kufungwa match moja tu unadhani ataogopa kufanya chochote akiona kaonewa?Kumbukeni watu wanapokuwa kwenye temp. insanity wanaweza kufanya chochote.Chukueni tahadhari watu wacheze mpira
 
Malinzi a jackass , masabuhri .
 
Nyie mambulumunduz wa michangani acheni kujiliza liza!
Jee lile goli ni 'ball to hand' au 'hand to ball' na je refa na lines' man wake walikuwa kwenye position gani kuuona mkono?
 
Back
Top Bottom