mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nadiriki kuamini kuwa Mchezo wa Simba Na Yanga matokeo take yalipangwa.Kwanza TFF ilimpanga REFA ambaye alikuwa amefungiwa kwa makosa ya kushindwa kuchezesha Kwa mwaka 1.
REFA huyo alikuwa karibu Na mfungaji wa BAO la MKONO lakini Kwa matakwa yake alikubali GOLI.
REFA alikataa GOLI la Mchezaji Ajibu Kwa madai ya Offside wakati haikuwa kweli.Naomba wshusika tuuangalie Mchezo huo upya tubaini Ukweli tu.Kama TFF itaendelea Na Ushabiki Wa Klabu kuna Hatari ya Mauaji kutokea kwenye Viwanja vya Mpira.