mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nakumbuka alivyoongizwaga cha kike na Victor Costa, mzigo akachukua na bado hakwenda huko na akatinga mazoezini na jezi imeandikwa MALINZI mgongoni.Jamal malinz amewahi kuwa kiongozi wa yanga
Malinzi hovyo kabisa yule, hana sifa za uongoziNakumbuka alivyoongizwaga cha kike na Victor Costa, mzigo akachukua na bado hakwenda huko na akatinga mazoezini na jezi imeandikwa MALINZI mgongoni.
Alafu sasa eti ndo rais pia wa tff ya kagera, huu ni upuuzi wa kiwango cha premier league.
Aibu kwa shabiki wa simba kwa ujinga waooNi aibu kwa tff,