road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Mbona kila mwaka mashindano yanafanyika ya mabao nazati ...yanakutanisha mabingwa wa nchi nzimaDratfi pia
Kombe la Taifa kama kuna kampuni inataka kupiga bao ni kudhamini michuano hii. Nakumbuka Mzizima United, relwe Eagles. Hii michuano ilikuwa mikubwa sana.Nakumbuka wakati tunakua miaka ya 90s kulikua na Taifa Cup ambapo mikoa yote ilishiriki na wachezaji wakubwa pia walishiriki hii iwaweza ufufua. Vipaji na kuonesha uzalendo uliofufuka !!!pia mashindano hata yasiishie kwenye soka tuu Bali ile ni michezo mingi mfano netball, basket,riadha ,ngumi, na hata ngoma za asili na music wa dance!!! Kiukweli
Dah acha tuu mbususu zinasasambuliwa mpaka basi, hivi kwa nini hamna mashindano ya taifa ya kugegedana?Kombe la Taifa kama kuna kampuni inataka kupiga bao ni kudhamini michuano hii. Nakumbuka Mzizima United, relwe Eagles. Hii michuano ilikuwa mikubwa sana. Ikirudi hii michuano watafute sana vipaji kutoka wilayani na mikoani. Kulikuwa na michuano mingi sana ya mashirika ya Umma siku hizi wamegeuza kichaka cha kutombeana tu huko na kula pesa.