road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Nakumbuka wakati tunakua miaka ya 90s kulikua na Taifa Cup ambapo mikoa yote ilishiriki na wachezaji wakubwa pia walishiriki hii iwaweza ufufua.
Vipaji na kuonesha uzalendo uliofufuka! Pia mashindano hata yasiishie kwenye soka tuu Bali ile ni michezo mingi mfano netball, basket, riadha, ngumi na hata ngoma za asili na music wa dance kukweli