Timu yetu ya taifa imeelekea South Africa kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Lesotho ajabu ni hili wametaja wachezaji tu Lakini viongozi hawajatajwa au ndo Yale mheshimiwa alisema wachezaji 20 wasindikizaji 40 tafadhali waweke na viongozi walioenda au ndo mnawaficha mkalale kwenye hotel za kifahari pamoja na kupata posho