Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Sawa muhasibu.Nilikuwa namsikiliza Prof. Tibaijuka. Akasema akiwa huko mbele kwenye maonyesho fulani alikutanishwa na mtu aliyekuwa anainadi plan ya mwendo kasi. Baada ya hela za kutekeleza plan yake kuja yule mtu akahamishwa wizara.
Kocha Hemedi Moroco watch out mzee
Sasa Hemed Morocco CV kubwa ataipata wapi?Tuna malengo gani na timu ya taifa?
Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ?
Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
Haha ndioAkija Pep Guardiola mzize atacheza kama Samuel Etoo na Feisal kama Andres Iniesta???
Hao wazee 10% wanajua kocha mwenye CV kubwa hashikiwi remoti😀Tuna malengo gani na timu ya taifa?
Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ?
Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
HahaHao wazee 10% wanajua kocha mwenye CV kubwa hashikiwi remoti😀