TFF tafuteni kocha mwenye CV kubwa

TFF tafuteni kocha mwenye CV kubwa

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Tuna malengo gani na timu ya taifa?

Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ?

Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
 
Nilikuwa namsikiliza Prof. Tibaijuka. Akasema akiwa huko mbele kwenye maonyesho fulani alikutanishwa na mtu aliyekuwa anainadi plan ya mwendo kasi. Baada ya hela za kutekeleza plan yake kuja yule mtu akahamishwa wizara.

Kocha Hemedi Moroco watch out mzee
 
Sawa muhasibu.
 
Tuna malengo gani na timu ya taifa?

Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ?

Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
Sasa Hemed Morocco CV kubwa ataipata wapi?
 
Akija Pep Guardiola mzize atacheza kama Samuel Etoo na Feisal kama Andres Iniesta???
 
TFF haijawahi kuwa serious kwenye kuajiri makocha wa timu ya Taifa. Huwa mara nyingi wanapenda kuajiri wale wazee wa kutoa 10%
 
Tuna malengo gani na timu ya taifa?

Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ?

Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
Hao wazee 10% wanajua kocha mwenye CV kubwa hashikiwi remoti😀
 
Back
Top Bottom