TFF timu ya Taifa ni mali ya watanzania inakuwaje mnaficha watanzania tusioneshwe halafu mnaomba kombe la Africa lifanyike Tanzania

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Watanzania wameumia sana leo kwa taarifa yenu kama hamjui, hiyo timu ni ya watanzania na sio mali yenu TFF, tuna haki kabisa ya kuiangalia na kutoa maoni yetu, kitendo mlichokifanya Leo ambacho nahic mmeweka mkakati huo kitawafanya watanzania kukosa uzalendo na timu yao, hivi mnaposema mmepewa favour kombe la afrika kuchezwa bongo watakaokwenda huko uwanjani ni akina nani?

Serikali imwambie Karia kuwa watanzania hatufurahii tabia yake, amekuwa akifanya anavyotaka simply because tumefuzu afcon, sasa kwa huu ujinga unadhan nani atashangilia stars huko afcon, kundi letu lina chama, lina ayubu na inonga unadhani mnavotufanyia hivi tutakuwa na moyo tena.

Sawa kama mmeamua kuifanya stars kuwa mali yenu endeleeni nayo.
 
Hao dawa yao ni wapenzi wa soka wote kuisusa timu, na kuanza kushangilia timu pinzani itakayo kuwa inacheza na taifa stars, waone kumbe walikuwa wahajui!! Huo ni ujinga mkubwa.
 
Kutangaza kikosi wanaficha, kuonyesha mpira wanaficha, tutaisusia hiyo timu mbaki nayo wenyewe.
 
Watanzania wameumia sana leo kwa taarifa yenu kama hamjui, hiyo timu ni ya watanzania na sio mali yenu TFF, tuna haki kabisa ya kuiangalia na kutoa maoni yetu, kitendo mlichokifanya Leo ambacho nahic mmeweka mkakati huo kitawafanya watanzania kukosa uzalendo na timu yao, hivi mnaposema mmepewa favour kombe la afrika kuchezwa bongo watakaokwenda huko uwanjani ni akina nani?

Serikali imwambie Karia kuwa watanzania hatufurahii tabia yake, amekuwa akifanya anavyotaka simply because tumefuzu afcon, sasa kwa huu ujinga unadhan nani atashangilia stars huko afcon, kundi letu lina chama, lina ayubu na inonga unadhani mnavotufanyia hivi tutakuwa na moyo tena.

Sawa kama mmeamua kuifanya stars kuwa mali yenu endeleeni nayo.
Wajinga kweli.
 
Watanzania wanapenda soka, ni vile tu viongozi wengine hawajui, na wanaojua wanapuuza tu kuboresha soka.

Watanzania ni maneno tu bila vitendo na mwisho wa siku wanasahau walichotendewa

Ili kuonesha kukerwa, inabidi siku Taifa stars ikicheza kwa Mkapa, mashabiki tugomee kwenda uwanjani.
 
Wafiche hadi mechi itakazocheza ili tusikie habari za stars toka nchi jirani.
 
Watanzania wameumia sana leo kwa taarifa yenu kama hamjui, hiyo timu ni ya watanzania na sio mali yenu TFF, tuna haki kabisa ya kuiangalia na kutoa maoni yetu, kitendo mlichokifanya Leo ambacho nahic mmeweka mkakati huo kitawafanya watanzania kukosa uzalendo na timu yao, hivi mnaposema mmepewa favour kombe la afrika kuchezwa bongo watakaokwenda huko uwanjani ni akina nani?

Serikali imwambie Karia kuwa watanzania hatufurahii tabia yake, amekuwa akifanya anavyotaka simply because tumefuzu afcon, sasa kwa huu ujinga unadhan nani atashangilia stars huko afcon, kundi letu lina chama, lina ayubu na inonga unadhani mnavotufanyia hivi tutakuwa na moyo tena.

Sawa kama mmeamua kuifanya stars kuwa mali yenu endeleeni nayo.
TIMU NINAZOZICHUKIA DUNIA HII NI:-

MBUMBUMBU SC
TAIFA STARS
 
Back
Top Bottom