Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Watanzania wameumia sana leo kwa taarifa yenu kama hamjui, hiyo timu ni ya watanzania na sio mali yenu TFF, tuna haki kabisa ya kuiangalia na kutoa maoni yetu, kitendo mlichokifanya Leo ambacho nahic mmeweka mkakati huo kitawafanya watanzania kukosa uzalendo na timu yao, hivi mnaposema mmepewa favour kombe la afrika kuchezwa bongo watakaokwenda huko uwanjani ni akina nani?
Serikali imwambie Karia kuwa watanzania hatufurahii tabia yake, amekuwa akifanya anavyotaka simply because tumefuzu afcon, sasa kwa huu ujinga unadhan nani atashangilia stars huko afcon, kundi letu lina chama, lina ayubu na inonga unadhani mnavotufanyia hivi tutakuwa na moyo tena.
Sawa kama mmeamua kuifanya stars kuwa mali yenu endeleeni nayo.