GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Sep 25, 2024 #1 Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
Sex body JF-Expert Member Joined Nov 30, 2023 Posts 407 Reaction score 900 Sep 25, 2024 #2 GENTAMYCINE said: Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa? Click to expand... Sio hivyo tu bali hata leo simba inaelekea Zanzibari na wakifika wamepewa mwaliko na Raisi wa Zanzibari wa kwenda ikulu, kama una D 2 nadhani ushajua kua kesho Simba anaenda kupasuka mbele ya Azam
GENTAMYCINE said: Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa? Click to expand... Sio hivyo tu bali hata leo simba inaelekea Zanzibari na wakifika wamepewa mwaliko na Raisi wa Zanzibari wa kwenda ikulu, kama una D 2 nadhani ushajua kua kesho Simba anaenda kupasuka mbele ya Azam