TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
 
Sio hivyo tu bali hata leo simba inaelekea Zanzibari na wakifika wamepewa mwaliko na Raisi wa Zanzibari wa kwenda ikulu, kama una D 2 nadhani ushajua kua kesho Simba anaenda kupasuka mbele ya Azam
 
Back
Top Bottom