TFF, Ubovu wa sehemu ya kuchezea mpira (Pitch) lawama juu yenu

Kwanza nchi kama ya TZ nchi yenye kila kitu tunaona barabara za juu flyingover uchumi kuwa wa kati bado ima viwanja vibovu ni aibu hata kurucha mechi hizo

Kabisa ulmwengu unatazama kupitia setelite ni kituko kwa habari ya viwanja ni bora game zichezwe bila kirushwa

Tena kwa karne hii ya sayansi na technologia ni aibu kubwa tena ikibidi serikali wizara husika waingilie kati

Watanzania wanapenda mpira lakini hatuna viwanja au lwani kina kosa kuchezea viwanja vitano tu vilivyo bora!!
 
Viwanja vyote vibovu ni vya CCM?
Mbona kuna viwanja vya CCM na ni bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…