kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Oct 11, 2019 #1 TFF orodhesheni idadi, aina na dalili za vitendo vya kishirikina kwenye soka. Vinginevyo mnajenga dhana na tafri tata. Hivi mtu akija uwanjani na pembe la ng'ombe analipuliza ni ushirikina? Kwanini kubeba vuvuzela sio ushirikina?
TFF orodhesheni idadi, aina na dalili za vitendo vya kishirikina kwenye soka. Vinginevyo mnajenga dhana na tafri tata. Hivi mtu akija uwanjani na pembe la ng'ombe analipuliza ni ushirikina? Kwanini kubeba vuvuzela sio ushirikina?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Oct 11, 2019 #2 Tiefuefu ni moja ya taasisi mbovu duniani. Nimejiuliza suala hili nikashindwa kuelewa. TFF wanatumia mbinu gani kujua huu ni ushirikana?
Tiefuefu ni moja ya taasisi mbovu duniani. Nimejiuliza suala hili nikashindwa kuelewa. TFF wanatumia mbinu gani kujua huu ni ushirikana?
Scoundrel JF-Expert Member Joined Jan 14, 2019 Posts 606 Reaction score 489 Oct 12, 2019 #3 simba effect! tutakoma na wengine wanakuja kuongeza uvundo! ni magori au kasongo bodi ya ligi! get ready!
simba effect! tutakoma na wengine wanakuja kuongeza uvundo! ni magori au kasongo bodi ya ligi! get ready!