TFF, vitendo vya kishirikina ni vipi?

TFF, vitendo vya kishirikina ni vipi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
TFF orodhesheni idadi, aina na dalili za vitendo vya kishirikina kwenye soka. Vinginevyo mnajenga dhana na tafri tata.

Hivi mtu akija uwanjani na pembe la ng'ombe analipuliza ni ushirikina? Kwanini kubeba vuvuzela sio ushirikina?
 
simba effect!
tutakoma na wengine wanakuja kuongeza uvundo!
ni magori au kasongo bodi ya ligi!
get ready!
 
Back
Top Bottom