Shida wapangaji was ratiba wanakuwa na malengo yao yaliyojificha, ila kwa sisi wenye jicho LA ziada tunawagundua kirahisi sana. Hats hivyo ratiba ndiyo hiyo yatupasa kukomaa ili malengo yao yafeli.
Epl Kuna ARSENAL, CHELSEA, TOTTENHAM, CRYSTAL PALACE, FULHAM NA WEST HAM.... Lakini hauwezi kuta hata Mara moja eti timu ipo tu London Mechi 5 hata Kama za nyumbani na ugenini... Kuna tofauti gani na hizo timu za Dar AFRICAN KYON, KMC, SIMBA, YANGA,AZAM JKT TANZANIA timu sita vile vile Halafu timu icheze Mechi 11 hapo hapo mji mmoja... Ukiwa kichwa maji mwezi mchanga ngumu kuelewa hii concept