TFF : wafute mechi ya Simba na Yanga.

Kwa post yako hii umedhihirisha kua wewe ndie mjinga zaidi yangu.

Kifupi wewe huna hoja hapa, ulioleta hapa ni utaahira uliotukuka, na hata huyo anayekulipa kwa post hii hupati kitu, jaribu tena vinginevyo leo utakufa njaa.
 
Kifupi wewe huna hoja hapa, ulioleta hapa ni utaahira uliotukuka, na hata huyo anayekulipa kwa post hii hupati kitu, jaribu tena vinginevyo leo utakufa njaa.
Haha, ukawa wamepanic, wanatukana tu.
 
Asante mkuu, you have talked some senses.
 
Mkuu, kwa kusoma argument zako, napata mashaka namna ubongo wako unavyofanya kazi. Kama una familia inayokutegemea. Basi imekula hasara.
Kweli wewe huo ubongo wako umepata stroke yakutosha,hujitambui tuu wewe ni maiti inayotembea kila kitu unakichukulia kwa mtizamo wa kisiasa punguza njaa.
 
Kweli wewe huo ubongo wako umepata stroke yakutosha,hujitambui tuu wewe ni maiti inayotembea kila kitu unakichukulia kwa mtizamo wa kisiasa punguza njaa.
Kanywe chai mkuu, you are stressed.
 
Kanywe chai mkuu, you are stressed.
Mimi sina njaa na siendeshwi kwa tumbo na ujira mdogo kama wewe,nipo huru kwa akili,utu na kipato changu. Wewe unaetegemea kulamba watu miguu na kupangiwa nini cha kuongea humu ndio unatabu kubwa sana.
 
TFF wachukue hatua
 
Huu uzi hauna maana kabisa......tuwe watu wa maendeleo na siyo kupiga majungu.Siasa kila kitu wajameni itatubakisha nyuma.tufikirie nje ya siasa
 
Huu uzi hauna maana kabisa......tuwe watu wa maendeleo na siyo kupiga majungu.Siasa kila kitu wajameni itatubakisha nyuma.tufikirie nje ya siasa
Wenye matatizo ni hao wanaoingiza siasa kwenye michezo. Lazima wakumbushwe kua wanafanya makosa.
 
Ata wakiinguza Siasa katiba hairuhusu siasa?

Ata = Hata,

Wakiinguza = Wakiingiza.

Kuna mipaka ya kufanya siasa na michezo ni sehemu moja wapo ambayo siasa hazitakiwi kufanyika. Michezo ni afya , na pia ni biashara, ila mpira sio siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…