TFF wajitathimini na Ratiba ya Yanga ilivyokuwa ngumu mbele yao

Yanga wametua mchana huu kutoka Tunisia kupitia Dubai na wanatarajia kwenda Mwanza leo saa moja usiku tayari kwa mchezo wa Jumapili dhidi ya Kagera Sugar...
Angalia ratiba zinazofuata ndio utachoka.

Ikitoka hapo irudi Dar kucheza na timu inayotokea Singida baadae iende kucheza Dodoma halafu irudi Dar kucheza na timu inayotokea Mbeya halafu iende Mbeya kucheza halafu irudi Mbeya kwa mara ya pili.

Mote humo ni interval ya siku zisizozidi tatu tatu.

Wakiweza kumaitain unbeaten record na CAF CC watabeba.
 
Yanga ina kikosi kipana.
Kipa kuna msheri, beki kuna baka, Mwamnyeto, Djuma, mid kuna mauya, Bigirimana forward kuna makambo, wings nkane, kisinda, chomekea wengine kina Farid, Fey, BM Kibwana n.k. Hapo hata kolo anakalishwa mapema sana.
 
Kwani Azizi Ki alifungiwa peke yake ofsa?

Imagine mtu kama chama pengo lake pale Simba na bado husikii makolo wakiilaumu TFF
Mkuu content haikuhusu na kulalamika kufungiwa kwa Aziz Ki bali ni Yanga kutopewa muda wa kujiandaa na mechi dhidi ya Kagera sugar. Hapo ilitolewa tu ufafanuzi kwanini Aziz Ki hajarudi pamoja na timu

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Dubai walienda kufanya nini? Hawakukodi ndege?
 
Azizi ana ruhusa ameenda Kwao Burkina faso kusalimia familia
 
Dubai walienda kufanya nini? Hawakukodi ndege?
Dubai wamekwenda kufanya connection Ili wafike Tunis. Tanzania hatuna ndege ya mojakwamoja mpaka Tunis.
Ata Yanga wangesema wakodi ndege bado hatuna shirika la ndege apa nchini lenye ruti ya mojakwamoja Hadi Tunis, bado ilitakiwa shirika la ndege iliyo kodiwa na Yanga liombe Kwa TCAA ambao wao wangeomba kibali Kwa nchi ambazo iyo ndege ya kukodi ipite.
 
kwa mujibu wa kanuni za fifa kupumzika ni masaa 72. nachukia sana viporo maana ni kama upangaji wa matokeo hivi acha yanga wacheze
 
Hii team kuanzia mashabiki mpaka viongozi wote akili zilisharuka zamani hata hawajui priority ya team wao bora liende sasa ratiba ya mechi za NBC premier league ndio ya kulalamika mi nikajua mnakuja kucheza na tp mazembe mechi ya Caf champions league kumbe ni league na kuna mechi kibao mbele kweli mbele mwiko nyuma mwiko daima mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…