Angalia ratiba zinazofuata ndio utachoka.Yanga wametua mchana huu kutoka Tunisia kupitia Dubai na wanatarajia kwenda Mwanza leo saa moja usiku tayari kwa mchezo wa Jumapili dhidi ya Kagera Sugar...
Ikitoka hapo irudi Dar kucheza na timu inayotokea Singida baadae iende kucheza Dodoma halafu irudi Dar kucheza na timu inayotokea Mbeya halafu iende Mbeya kucheza halafu irudi Mbeya kwa mara ya pili.
Mote humo ni interval ya siku zisizozidi tatu tatu.
Wakiweza kumaitain unbeaten record na CAF CC watabeba.