mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
kwenye blog ya salehjembe inasema inafanyika hapa nchini.
wale waliotukanwa na kufedhuliwa na musonye Yanga sijui watakubali au watakataa
Mkuu unajiuliza nini tena wakati afsa habar wa tff ameshatolea ufafanuz swala la timu zitakazo shiriki mwaka huu!!Nasubiri Tu Kuona SAKATA Kubwa Litakalotokea Ktk Mambo Haya Mawili:
- Ukiondoa Azam Na Yanga Timu Gani Nyingine Itacheza Kati Ya Mbeya City Na Chama Langu La Simba SC?
- Je Itawezekana Vipi Kagame Kuchezewa Dar es Salaam Halafu Yanoge Bila Kuwepo Simba Sports Club?
Nafasi ya Mbeya city mbona walishapewa mikia kitambo
Ili kuondoa manung'uniko mengi, mambo yatakuwa hivi:
Wataandikiwa barua Mbeya City na CECAFA muda mfupi kabla ya siku ya mwisho kuthibitisha ushiriki. Kabla Mbeya City hawajaipokea hiyo barua Musonye atatangaza kuwa Mbeya City wameshindwa kuthibitisha ndani ya muda hivyo nafasi yao wamepewa Simba SC.
Ngoja tusubiri kutimia kwa utabiri huu.
Ila kwa vile inaonekana CECAFA hawana kanuni ya timu zipi zishiriki, basi wangewaacha tu wote simba na mbeya city washiriki, wajifanye kwa vile yanafanyika hapa kwetu wameziongeza kuongeza ushindani na radha ya ushabiki
Mashindano yamegeuka kuwa bonanza.....Hayana mvuto tena.
ili kuondoa manung'uniko mengi, mambo yatakuwa hivi:
Wataandikiwa barua mbeya city na cecafa muda mfupi kabla ya siku ya mwisho kuthibitisha ushiriki. Kabla mbeya city hawajaipokea hiyo barua musonye atatangaza kuwa mbeya city wameshindwa kuthibitisha ndani ya muda hivyo nafasi yao wamepewa simba sc.
Ngoja tusubiri kutimia kwa utabiri huu.