TFF wamekubali Kombe la Kagame kufanyika Tanzania

TFF wamekubali Kombe la Kagame kufanyika Tanzania

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
kwenye blog ya salehjembe inasema inafanyika hapa nchini.
wale waliotukanwa na kufedhuliwa na musonye Yanga sijui watakubali au watakataa
 
kombe la bonanza la musonye viongozi hawawezi kukataa wanataka kuvuta hela zao wameziba masikio pamoja na kufedhuliwa na musonye
 
kwenye blog ya salehjembe inasema inafanyika hapa nchini.
wale waliotukanwa na kufedhuliwa na musonye Yanga sijui watakubali au watakataa

Nasubiri Tu Kuona SAKATA Kubwa Litakalotokea Ktk Mambo Haya Mawili:

  • Ukiondoa Azam Na Yanga Timu Gani Nyingine Itacheza Kati Ya Mbeya City Na Chama Langu La Simba SC?
  • Je Itawezekana Vipi Kagame Kuchezewa Dar es Salaam Halafu Yanoge Bila Kuwepo Simba Sports Club?
 
Hivi CECAFA wana kanuni zinazowaongoza kuhusu idadi ya timu na jinsi zinavyopatikana ili kushiriki mashindano yao?

Au wanaangalia upepo kila wakati?. Kama kuna kanuni sioni tabu yoyote. Kama hamna, ndio uswahili utaingia hapo na kuyafanya mashindano yawe ya mchangani.
 
Mwaka huu hayatakuwa na mvuto kama mnyama hatakuwamo
 
Nasubiri Tu Kuona SAKATA Kubwa Litakalotokea Ktk Mambo Haya Mawili:

  • Ukiondoa Azam Na Yanga Timu Gani Nyingine Itacheza Kati Ya Mbeya City Na Chama Langu La Simba SC?
  • Je Itawezekana Vipi Kagame Kuchezewa Dar es Salaam Halafu Yanoge Bila Kuwepo Simba Sports Club?
Mkuu unajiuliza nini tena wakati afsa habar wa tff ameshatolea ufafanuz swala la timu zitakazo shiriki mwaka huu!!
Mbeya city walipaswa kushiriki lakin tifu tifu wakasema sio wazoefu katika mashindano ya kimataifa.
 
Nafasi ya Mbeya city mbona walishapewa mikia kitambo
 
Nafasi ya Mbeya city mbona walishapewa mikia kitambo

Ili kuondoa manung'uniko mengi, mambo yatakuwa hivi:

Wataandikiwa barua Mbeya City na CECAFA muda mfupi kabla ya siku ya mwisho kuthibitisha ushiriki. Kabla Mbeya City hawajaipokea hiyo barua Musonye atatangaza kuwa Mbeya City wameshindwa kuthibitisha ndani ya muda hivyo nafasi yao wamepewa Simba SC.

Ngoja tusubiri kutimia kwa utabiri huu.
 
Ila kwa vile inaonekana CECAFA hawana kanuni ya timu zipi zishiriki, basi wangewaacha tu wote simba na mbeya city washiriki, wajifanye kwa vile yanafanyika hapa kwetu wameziongeza kuongeza ushindani na radha ya ushabiki
 
CC. Jamal Malinzi - ushauri wa bure, ukiupenda unaweza kumshauri Musonye.
 
Last edited by a moderator:
kama viongozi wa yanga wanajua utu heshima wasishiriki fedhuri alizotoa musonye inatosha .
 
Walishasema mashindano haya kanuni ukiacha bingwa na mwakilishi wa kila nchi, CECAFA inaweza kuteua (kualika) timu yoyote ile kama wapendavyo wenyewe.

Na walihalalisha kwa kutoa mfano kuwa mwaka jana kwenye mashindano ya Nile Basin, Mbeya City aliteuliwa na tifu tifu kuchukua nafasi ya Azam aliyekuwa mshindi wa pili, badala ya Simba iliyokuwa inastahili kwa kuwa mishindi wa tatu.
 
ili kuondoa manung'uniko mengi, mambo yatakuwa hivi:

Wataandikiwa barua mbeya city na cecafa muda mfupi kabla ya siku ya mwisho kuthibitisha ushiriki. Kabla mbeya city hawajaipokea hiyo barua musonye atatangaza kuwa mbeya city wameshindwa kuthibitisha ndani ya muda hivyo nafasi yao wamepewa simba sc.

Ngoja tusubiri kutimia kwa utabiri huu.

prophet..........
 
Viti maalum sc oyeeeee.hivi kwa timu inayojiamini kushiriki mashindano mengine ya kimataifa sio inaweza kukataa nafasi za kudhulumu?mikia onyesheni msimamo kataeni hiyo nafasi ya viti maalum.
 
Back
Top Bottom