Tz hatujawahi kuwa seriousMama alitaka azindue kitabu na game acheki akasahau mshika mawili moja humponyoka
Wapumbavu sana mkuu... Hawajui hizi timu ndani ya mioyo yetu zina nafasi ganiMkuu hawa watu pumbavu sana tena sana tu. Jambo jepesi mechi ingeanza saa kumi tu ingekuwa poa. mbona mechi nyingi zimechezwa saa kumi na huku baadhi ya wachezaji wakiwa wamefunga.
Mexime yupo sahihi, waendesha mpira wengi mbumbumbu sanaInawezekana kabisa Tanzania tunaviongozi wajinga ila kwa hili la kusogezwa muda mechi ya SIMBA vs YANGA itoshe kusema tunao viongozi Wajinga + Wapumbavu.
Barua inayosambaa mitandaoni ya kusogeza muda mbele hawa jamaa weshindwa hata kuomba radhi!
Wapumbavu sana mkuuWanasababu za kijinga sana kama hiyo ndio sababu. Kwani mfungo umeanza leo gafla? Kama mfungo umeanza takribani wiki tatu zilizopita kwann hawakuchukua maamuzi mapema? Mbona kunatimu nyingine zinacheza hata bila kufuturu au nazo hazistahili kupewa kipaombele?
KabisaWapumbavu sana mkuu... Hawajui hizi timu ndani ya mioyo yetu zina nafasi gani