TFF wamethibitisha kauli ya Mexime

TFF wamethibitisha kauli ya Mexime

Mkuu hawa watu pumbavu sana tena sana tu. Jambo jepesi mechi ingeanza saa kumi tu ingekuwa poa. mbona mechi nyingi zimechezwa saa kumi na huku baadhi ya wachezaji wakiwa wamefunga.
Wapumbavu sana mkuu... Hawajui hizi timu ndani ya mioyo yetu zina nafasi gani
 
Inawezekana kabisa Tanzania tunaviongozi wajinga ila kwa hili la kusogezwa muda mechi ya SIMBA vs YANGA itoshe kusema tunao viongozi Wajinga + Wapumbavu.

Barua inayosambaa mitandaoni ya kusogeza muda mbele hawa jamaa weshindwa hata kuomba radhi!
Mexime yupo sahihi, waendesha mpira wengi mbumbumbu sana
 
Wanasababu za kijinga sana kama hiyo ndio sababu. Kwani mfungo umeanza leo gafla? Kama mfungo umeanza takribani wiki tatu zilizopita kwann hawakuchukua maamuzi mapema? Mbona kunatimu nyingine zinacheza hata bila kufuturu au nazo hazistahili kupewa kipaombele?
Wapumbavu sana mkuu
 
Back
Top Bottom