TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,432
Reaction score
5,864
Habarini wana michezo.

Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora.

Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja vya nyumbani na sio timu hizo kubwa kwenda ugenini au mikoani kucheza na timu pinzani.

Kwenye hatua hii ya robo fainali timu zote kubwa zimepangwa kuchezea nyumbani.
Yanga,Simba,Azam fc,Singida BS zote zimepangwa kucheza nyumbani ukiangalia hata kwenye Table ya NBC premier league hizi ndio timu zilizopo kwenye top 4.

Naomba kujua KWA nini wasipange tofauti timu hizi zikaenda mikoani kucheza na wapinzani Wao katika hatua hii?

Je kuna upendeleo wowote au vigezo gani vinatumika kuwapa fever wakubwa wote kuchezea nyumbani katika hatua hii ya 16 bora?
 

Attachments

  • IMG-20230317-WA0006.jpg
    IMG-20230317-WA0006.jpg
    105 KB · Views: 6
Back
Top Bottom