Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mfumo wa kuendesha mashindano ya FA Cup ya Tanzania yamekaa kidhulumishi sana.
Fainali ya mwaka huu ilifanywa kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga. Yanga wakashinda na kuwa mabingwa. Sasa Coastal Union wakaishia kushiriki Fainali ya FA bila ya kupata manufaa ya kushiriki kwenye mashindano ya kimataifa.
Yaani Geita Gold mining wao walishiriki mashindano ya FA na wakatolewa lakini leo wenyewe ni sehemu ya wawakilishi wetu kwenye mashindano ya kimataifa. Kutolewa kwao kwenye FA kuliwaathiri vipi na Coastal Union kushiriki kwao kwenye Fainali ya FA kumewafaidisha nini?
Jee Coastal Union wasingekwenda kushiriki kwenye fainali wasingefungiwa na TFF?