Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Timu nne zinaenda, na Geita ni ya nne kwa msimamo. Kingine Coastal angeenda kama angeshinda kombe angechukua nafasi ya Geita. Sheria ilibadilishwa mshindi tu ndio anaenda kimataifa.Mfumo wa kuendesha mashindano ya FA Cup ya Tanzania yamekaa kidhulumishi sana.
Fainali ya mwaka huu ilifanywa kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga. Yanga wakashinda na kuwa mabingwa. Sasa Coastal Union wakaishia kushiriki Fainali ya FA bila ya kupata manufaa ya kushiriki kwenye mashindano ya kimataifa.
Yaani Geita Gold mining wao walishiriki mashindano ya FA na wakatolewa lakini leo wenyewe ni sehemu ya wawakilishi wetu kwenye mashindano ya kimataifa. Kutolewa kwao kwenye FA kuliwaathiri vipi na Coastal Union kushiriki kwao kwenye Fainali ya FA kumewafaidisha nini?
Jee Coastal Union wasingekwenda kushiriki kwenye fainali wasingefungiwa na TFF?
umesoma nakuelewa nilichoandika? Niliposema "mfumo dhulumishi" wewe ulielewa nini?Timu nne zinaenda, na Geita ni ya nne kwa msimamo. Kingine Coastal angeenda kama angeshinda kombe angechukua nafasi ya Geita. Sheria ilibadilishwa mshindi tu ndio anaenda kimataifa.
Uwe unafanya utafiti mkuu.
Hakuna udhulumishi hata kiwango cha Coastal kuna challenge yoyote watatoa kimataifa? Mbona hata Geita Gold walipambana na yanga mpaka matuta.umesoma nakuelewa nilichoandika? Niliposema "mfumo dhulumishi" wewe ulielewa nini?
Jamaa anataka tff iweke mfumo wa kuwafavor best loser wa FA. Je, waliopambana top four watajisikiaje?hata hueleweki mkuu...
ila hua iko hivi...
kikawaida wanaokwenda klabu bingwa ni mshindi wa kwanza na wa pili kwenye ligi
wanaokwenda shirikisho ni mshindi wa tatu kwenye ligi na bingwa wa fa, endapo aliyechukua ligi ndiye bingwa wa fa hua wanachukua mshindi wa nne kwenye ligi badala ya huyo aliyetakiwa kutoka shirikisho.
Hoja ya hovyo KABISA 😂nyakubonga na buffalo44 hoja hapa siyo "Best Loser kupendelewa" bali kungalia kama mashindano yenyewe yanatenda haki kwa wanaoshiriki.
Kwa mfano Coastal union waliwatoa Azam, hivi Azam wangekuwa wa nne kwenye msimamo wa ligi si wangekwenda kwenye mashindano ya kimataifa badala ya Coastal Union?
Jibu ni ndio, azam angekwenda.hivi Azam wangekuwa wa nne kwenye msimamo wa ligi si wangekwenda kwenye mashindano ya kimataifa badala ya Coastal Union?
Lipuli nayo ilifika fainali Lindi na ikaachwa. Hoja hapa mantiki ya kuchukuwa mshindi wa tatu na wanne ni nini?Kwahiyo coast kwakuwa kacheza fainal basi ndiye alistahili kwenda kimataifa?.
Mbona hili la huu mfumo lipo miaka yote Wala hakuna mfumo dhulumishi hapa!!.
Sijaelewa boss, sheria ishabadilishwa hata angekua simba au yanga au azam wapo nje ya top four alafu wawe best loser hawaendi kimataifa. Na TTF ikiforce club ya nne inaweza kuwafungulia mashtaka FIFA wakala panga.nyakubonga na buffalo44 hoja hapa siyo "Best Loser kupendelewa" bali kungalia kama mashindano yenyewe yanatenda haki kwa wanaoshiriki.
Kwa mfano Coastal union waliwatoa Azam, hivi Azam wangekuwa wa nne kwenye msimamo wa ligi si wangekwenda kwenye mashindano ya kimataifa badala ya Coastal Union?
Huyu jamaa vipi? Simba kasaidi kupata timu nne, na tatu za juu ya msimamo zinafuzu automatically, ya nne ndio inangalia kama bingwa wa FA yupo nje au ndani ya top Four, kama yupo nje anachukua nafasi yake kama yupo ndani, wa nne anatoboa kimataifaJibu ni ndio, azam angekwenda.
Lipuli hakudhulumiwa, Kombe la Azam confederation linatoa timu moja tu kuwakilisha kwenye mashindano ya shirikisho barani Afrika!!Lipuli nayo ilifika fainali Lindi na ikaachwa. Hoja hapa mantiki ya kuchukuwa mshindi wa tatu na wanne ni nini?
Azam federation n kikombe kidogo ambacho hakiwezi kutoa timu mbili!!hoja ya msingi ni"mshindi wa pili wa shirikisho anaachwa alafu anakwenda mshindi wa nne wa ligi kuu!.hapo ndo utata onapoanzia.
Ilikua mwaka gani? Je, kulikua na kuingiza timu nne CAF? Je, Sheria ya bingwa tu wa FA ndio anaenda ilikua active au bado?Lipuli nayo ilifika fainali Lindi na ikaachwa. Hoja hapa mantiki ya kuchukuwa mshindi wa tatu na wanne ni nini?