TFF wamjibu dogo aliyelalamika kulipwa 20,000

TFF wamjibu dogo aliyelalamika kulipwa 20,000

Kwa namna mnahisi hiyo timu mashindano yajayo watakuwa na morali ya kupambana kweli? Wakat wanajua hata tukishika nafas ya 1 fedha zitakazotolewa zitaenda kujenga miundombinu?
 
TFF wamesema watajenga miundombinu, hawatagawa hizo pesa
Kwahiyo hiyo miundombinu ilikua inawasubiri hao washinde??

What if wasingeshinda??

TFF haina vyanzo vingine vya kupata fedha za kuboresha miundombinu??

Lies.
 
Bado za kuzipiga timu faini. Timu kupita mlango mwingine kuingia uwanjani unapigwa fain milioni 5 na makorokolo yake. Nao huo ni mlango wa kuingia uwanjani.
Kwanini usipte mlango rasmi?
Kama mlango rasmi unashida kwanini usitoe malalamiko rasmi?
 
Daah aisee hao jamaa ni wapuuzi sana hawakupaswa kuwepo ofisini yaani walishindwa kuwapa hata laki mbili kila mchezaji huku wakisubiri malipo yao daah hawa jamaa hapo TFF wamefanya sehemu ya kuiba pesa tuu wanaonufaika ni wao sio wachezaji wa Timu ya Taifa...
 
Kama TFF watatumia hizo pesa za ushindi kujenga miundombinu watakuwa wamefanya Jambo la kikatili kwa hao watoto. Mbona kule Zanzibar wamepewa zawadi na pesa?. Sisi huku shida ni Nini? Elfu ishirini ndio kitu gani?. Wawalipe pesa za mwaka Jana na mwaka huu.
 
Back
Top Bottom