MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Vipi, hiyo taarifa ya Nsajigwa?Vitu sio rasmi unaleta vya nn hapa?
Hii iende hadi kwenye vilabu?Tuchukue likizo ya miaka 5 ya kutoshiriki mashindano ya kimataifa huku tukiandaa vjana wazur tuwapeleke France au Germany kwenye academy nzuri halafu tuone
Nsajigwa aende kufanya nini YangaView attachment 2338545
TTF wamefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu na benchi lake zima japo anaendelea kubaki katika timu ya vijana kumalizia mkataba wake.
Taarifa isiyo rasmi Nsajigwa anaenda Yanga kuongeza nguvu benchi la ufundi la timu hiyo.
Taja kikosi chako hapa ambacho kingekupa matokeo kwa urahisi. Mfano kwenye ushambuliaji, ulipenda aitwe nani?Hata kama sio rasmi jamani naomba nitoe ya moyoni me kim simwelewi jamani kwanza kikosi chake sikielewi alafu sub zake pia sizielewagi lingine nisaidieni ivi ukiwa mfungaji bora ni lazima uitwe timu ya taifa?