TFF wamtema kocha Kim Poulsen

TFF wamtema kocha Kim Poulsen

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
FB_IMG_16617783049490060.jpg

TTF wamefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu na benchi lake zima japo anaendelea kubaki katika timu ya vijana kumalizia mkataba wake.
Taarifa isiyo rasmi Nsajigwa anaenda Yanga kuongeza nguvu benchi la ufundi la timu hiyo.
 
Hata kama sio rasmi jamani naomba nitoe ya moyoni me kim simwelewi jamani kwanza kikosi chake sikielewi alafu sub zake pia sizielewagi lingine nisaidieni ivi ukiwa mfungaji bora ni lazima uitwe timu ya taifa?
 
HV had Leo bado hatujui tatizo lipo wapi kwa timu zetu za taifa kushindwa kufanya vizuri?

Tuchukue likizo ya miaka 5 ya kutoshiriki mashindano ya kimataifa huku tukiandaa vjana wazur tuwapeleke France au Germany kwenye academy nzuri halafu tuone

Tukatwe tozo ya tsh 100/= ya mazao kwa ajili ya kulipia timu hyo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tuchukue likizo ya miaka 5 ya kutoshiriki mashindano ya kimataifa huku tukiandaa vjana wazur tuwapeleke France au Germany kwenye academy nzuri halafu tuone
Hii iende hadi kwenye vilabu?
 
Hata kama sio rasmi jamani naomba nitoe ya moyoni me kim simwelewi jamani kwanza kikosi chake sikielewi alafu sub zake pia sizielewagi lingine nisaidieni ivi ukiwa mfungaji bora ni lazima uitwe timu ya taifa?
Taja kikosi chako hapa ambacho kingekupa matokeo kwa urahisi. Mfano kwenye ushambuliaji, ulipenda aitwe nani?

John Bocco, au!!!
 
Back
Top Bottom