TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
1,712
Reaction score
2,577
Kwasababu tajwa hapo juu na Simba nao wanadeka.

Jambo kama hili la mgogoro wa tff na Simba likitokea kwa Yanga uwa kuna press mfululizo za body ya ligi au tff kutoa vitisho na mikwara kwa Yanga.

Lakini kwa Simba tff na body ya ligi huwa wanaonyesha unyonge fulani hivi tofauti na inavyotarajiwa.

Nawasilisha.
 
Kwa point yako kama naanza kukubali unachosema.
Mkuu yanga walikomaa nembo ya mdhamini ivaliwe na rangi nyingine sio nyekundu wakati kanuni uvae rangi harisi za mdhamini tff wakapindisha kuwafavor,tofauti na simba wameenda wakitaka vifungu kabsa mdhamini mwenza inakuaje wamehoji maslahi yao watanufaika VIP,na maswala ya conflict of interest tff wanajikuta wamepuyanga
 
Nilijua tu gharib anaenda kudondokea pua kama ilivyokuwa kwa Morrison,, bado anaendeleza magumashi yake yale yale ya home shopping center kule bandarini,, ila kwa simba kayakanyaga, ye kama anataka kutangaziwa magoro yake aje tu kwa simba street atie mzigo wenye kueleweka atatangaziwa hayo magodoro yake,, kwa kuwa kule utopoloni kumebuma,, na sio kuleta janja janja,,,
 
Kuhusu nembo ya NBC nadhani tff wali experience kwenye nembo ya gsm kuwa njano na kijani badala ya nyekundu na nyeupe.mwenye nembo akikubali rangi ibadilishwe akuna shida kikubwa ni nembo imevaliwa.
 
Mtoa mada kwenye haya mambo ushabiki weka pemben alafu fuata sheria na kanuni ndo unaweza elewa kidogo bt kiukwel tiefuefu na gsm wake wamepuyanga kwa hili
 
GSM-Most trending name in Tanzania for 4 months consecutive
 
Brand yake ya jina inakua sana na faida ktk biashara zake
 
Jua Simba wana hoja zenye mashiko.

Jua yanga ni katimu fulani underground ambako hakaogopeki.

Sasa utamwogopaje mtu km Manara.
 
Kuweni huru...achaneni na hawa wakoloni SIMBA NA YANGA
Aiwezekani kwasababu mpaka wenye nchi wametunza mioyo yao Simba na Yanga,je'sisi waongozwaji kwanini na sisi tusipende hizi timu!
 
Gsm kama anataka kuwekeza awekeze Yanga,kama hataki atengeneze timu yake ipambane daraja la kwanza huko alaf iingie ligi kuu then ndiyo awavishe hao vijana wake hayo ma nembo yake kwa mbinu aliyotumia kwakwel amegonga mwamba simba saiz ina viongozi wenye upeo mkubwa.

Usikute said gharib yey binafsi hana shida ila tatizo ni vilaza wanaomzunguka wanamshaur mambo ya ajab mwisho wake ni aibu na hasara kutengeneza mabango na kisha kuyabandika na kuyabandua kazi bure.

Wadau wa yanga walikuwa wakifurah wakijua simba itavurugwa na vitu vidogo vidogo wamefeli..
 
wanasimba wengi tunafurahia kinachoendelea bt tunasahau kua mara zote team inayokua na migogoro na tff mara zote haichukui ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…