busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Kwasababu tajwa hapo juu na Simba nao wanadeka.
Jambo kama hili la mgogoro wa tff na Simba likitokea kwa Yanga uwa kuna press mfululizo za body ya ligi au tff kutoa vitisho na mikwara kwa Yanga.
Lakini kwa Simba tff na body ya ligi huwa wanaonyesha unyonge fulani hivi tofauti na inavyotarajiwa.
Nawasilisha.