Huwezi kuwa mdau wa Michezo ukawa si simba au yanga! Acha giliba za kama mtu ajiita OKW BOBAN SUNZUKabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.
Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?
TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Kwa hiyo TFF imeharisha mechi ya simba na coast kwasababu kuna kaizer chief wapo hapa ahahaha Mbimbumbu bwana sasa hapo si ndiyo inadhihirisha wazi kuwa mnabwbwa na TFFAcheni upumbavu wa akili nyie utopolo tengenezeni timu lenu bovu shindeni mechi zenu,,..
Mlivyokua kileleni mlikua kimya sasaivi kila siku mnakuja na mpya.
Nikuambie tu hiki kilichofanyika ni mipango mikubwa ya kinchi kuhakikisha Simba anatinga nusu hata fainali..
Kaizer chief toka Juma lilopita wapo hapa nchi kutaka kuangalia hizi mechi mbili za mwisho za Simba wajue current form,streghth na weekness za Simba,nikueleze t haya yalofanyika wamepigiwa chenga ya mwili na yamewachanganya vibaya hawajui hata wataingia na plan gani zidi ya Simba..
Simba ikifanikiwa kufika nusu ni faida kwa mpira mzima wa nchi alaf we unataka tucheze na coast.
Tff ina maslahi gani na kaizer chief ,so ulitaka tff wawa favor amakhosi,Kwa hiyo TFF imeharisha mechi ya simba na coast kwasababu kuna kaizer chief wapo hapa ahahaha Mbimbumbu bwana sasa hapo si ndiyo inadhihirisha wazi kuwa mnabwbwa na TFF
Tena na wakienda Nusu ,TFF wanapata mgao wanao pata SIMBASasa timu inatangaza nchi kimatatifa, wataachaje kuipenda bana!
Hata ungekuwa wewe, timu inafanya vizuri kimataifa utaacha kuipenda kweli? Kwani kinachofanya mchezaji Samatta kupendwa zaidi ya wachezaji wengine wa ki Tz ni nini hasa? Ni mchezaji mzuri na zaidi anatutoa kimasomaso huko "majuu, sio?
Huna akili sawasawa na usiwalaumu TFF, na isitoshe wewe siyo Mwana michezo umewezaje kujua taratibu za huo mchezo?, Kaizer chief ya wapi iliyo cheza trh 12?,usitufanye na sisi hatujui mpira kama wewe, sisi tunaujua, so simba haikuhusu kaa kimya iacje simba yetu.Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.
Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?
TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Mnatafuta yooote.Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.
Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?
TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Halafu bila aibu walipofika south siku ya pili yake wakawa uwanjani kuwaangalia kaizer chief wakicheza match ya ligiKabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.
Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?
TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.
Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?
TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Ooooh kumbe kuahirishwa mechi na yanga ni mipango ya nchi sasa mbona hamjawaambia mbumbumbu wenzenu wakiongozwa na yule msemaji mbwatukaji wanakaa wanabwatuka kama mbwa koko waliokosa matunzoAcheni upumbavu wa akili nyie utopolo tengenezeni timu lenu bovu shindeni mechi zenu,,..
Mlivyokua kileleni mlikua kimya sasaivi kila siku mnakuja na mpya.
Nikuambie tu hiki kilichofanyika ni mipango mikubwa ya kinchi kuhakikisha Simba anatinga nusu hata fainali..
Kaizer chief toka Juma lilopita wapo hapa nchi kutaka kuangalia hizi mechi mbili za mwisho za Simba wajue current form,streghth na weekness za Simba,nikueleze t haya yalofanyika wamepigiwa chenga ya mwili na yamewachanganya vibaya hawajui hata wataingia na plan gani zidi ya Simba..
Simba ikifanikiwa kufika nusu ni faida kwa mpira mzima wa nchi alaf we unataka tucheze na coast.
Wewe utopolo huwez kuelewa kitu,,Ooooh kumbe kuahirishwa mechi na yanga ni mipango ya nchi sasa mbona hamjawaambia mbumbumbu wenzenu wakiongozwa na yule msemaji mbwatukaji wanakaa wanabwatuka kama mbwa koko waliokosa matunzo
Nikusahihishe mkuu kwenye kila mgao kuanzia kuingia makundi,robo mpaka fainali tff wanachao Tena pesa nzuri tu Sana.Tena na wakienda Nusu ,TFF wanapata mgao wanao pata SIMBA
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
... Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
Nilichoelewa kutoka kwako ni kwamba TFF inaipendelea Simba dhidi ya Kaizer Chiefs, na inaihujumu Kaizer Chiefs. TFF inaahirisha mchezo wa Simba lakini TFF hiyo hiyo inailazimisha Kaizer Chiefs icheze mechi. TFF ilitakiwa ihakikishe ratiba za Simba na Kaizer Chiefs zinafanana. Kama Kaizer Chiefs amecheza tarehe 12 Mei na Moroka Swallows, kwa nini Simba asicheze na Coastal Union? TFF inataka Simba ichukue ubingwa wa ligi, wakati huo huo inaikandamiza Kaizer Chiefs isichukue ubingwa wa ligi... Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Kwa sababu ulikuwa unabebwa na malinzi hamna mechi ya yanga iishe bila redcard au penati kwa team pinzaniTFF ya Makia sijawahi kuikubali hata siku 1 labda ile TFF ya Malinzi.. Huyu karia na genge lake pale ni Wasenge square sijui wanakazwa na MO