TFF wanaipendelea Simba SC, ukweli huu hapa

Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.

Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.

Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?

Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?

TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?

Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?

TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Huwezi kuwa mdau wa Michezo ukawa si simba au yanga! Acha giliba za kama mtu ajiita OKW BOBAN SUNZU
 
Acheni upumbavu wa akili nyie utopolo tengenezeni timu lenu bovu shindeni mechi zenu,,..
Mlivyokua kileleni mlikua kimya sasaivi kila siku mnakuja na mpya.

Nikuambie tu hiki kilichofanyika ni mipango mikubwa ya kinchi kuhakikisha Simba anatinga nusu hata fainali..
Kaizer chief toka Juma lilopita wapo hapa nchi kutaka kuangalia hizi mechi mbili za mwisho za Simba wajue current form,streghth na weekness za Simba,nikueleze t haya yalofanyika wamepigiwa chenga ya mwili na yamewachanganya vibaya hawajui hata wataingia na plan gani zidi ya Simba..
Simba ikifanikiwa kufika nusu ni faida kwa mpira mzima wa nchi alaf we unataka tucheze na coast.
Kwa hiyo TFF imeharisha mechi ya simba na coast kwasababu kuna kaizer chief wapo hapa ahahaha Mbimbumbu bwana sasa hapo si ndiyo inadhihirisha wazi kuwa mnabwbwa na TFF
 
Tff ina maslahi gani na kaizer chief ,so ulitaka tff wawa favor amakhosi,
Ndo ujue utopolo daima mnatoa mbele nyuma Kuna mwiko.
 
Ubongo wako umejaa vyura sasa hapo simba kapendelewa vipi wakati viporo vinazid
 
Sasa timu inatangaza nchi kimatatifa, wataachaje kuipenda bana!

Hata ungekuwa wewe, timu inafanya vizuri kimataifa utaacha kuipenda kweli? Kwani kinachofanya mchezaji Samatta kupendwa zaidi ya wachezaji wengine wa ki Tz ni nini hasa? Ni mchezaji mzuri na zaidi anatutoa kimasomaso huko "majuu, sio?
Tena na wakienda Nusu ,TFF wanapata mgao wanao pata SIMBA
 
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.

Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.

Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?

Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?

TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?

Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?

TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Huna akili sawasawa na usiwalaumu TFF, na isitoshe wewe siyo Mwana michezo umewezaje kujua taratibu za huo mchezo?, Kaizer chief ya wapi iliyo cheza trh 12?,usitufanye na sisi hatujui mpira kama wewe, sisi tunaujua, so simba haikuhusu kaa kimya iacje simba yetu.
 
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.

Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.

Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?

Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?

TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?

Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?

TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Mnatafuta yooote.
Kisa muwategue miguu wachezaji wa SIMBA SC ili washindwe kucheza ligi inayowabeba ninyi. Wee bila kupepesa macho ni utopolo tu.
SIMBA inaiwakilisha Nchi,lazima ilindwe kwa nguvu zote. Iwe TFF au SERIKALI.
Meza kiwembe uridhike
 
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.

Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.

Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?

Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?

TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?

Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?

TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
Halafu bila aibu walipofika south siku ya pili yake wakawa uwanjani kuwaangalia kaizer chief wakicheza match ya ligi
 
Kichwa boga akili kisoda.

Sikulaumu maana hiyo sidhani hata hicho kisoda kinajaa.
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.

Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.

Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?

Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?

TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?

Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?

TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.
 
Acheni upumbavu wa akili nyie utopolo tengenezeni timu lenu bovu shindeni mechi zenu,,..
Mlivyokua kileleni mlikua kimya sasaivi kila siku mnakuja na mpya.

Nikuambie tu hiki kilichofanyika ni mipango mikubwa ya kinchi kuhakikisha Simba anatinga nusu hata fainali..
Kaizer chief toka Juma lilopita wapo hapa nchi kutaka kuangalia hizi mechi mbili za mwisho za Simba wajue current form,streghth na weekness za Simba,nikueleze t haya yalofanyika wamepigiwa chenga ya mwili na yamewachanganya vibaya hawajui hata wataingia na plan gani zidi ya Simba..
Simba ikifanikiwa kufika nusu ni faida kwa mpira mzima wa nchi alaf we unataka tucheze na coast.
Ooooh kumbe kuahirishwa mechi na yanga ni mipango ya nchi sasa mbona hamjawaambia mbumbumbu wenzenu wakiongozwa na yule msemaji mbwatukaji wanakaa wanabwatuka kama mbwa koko waliokosa matunzo
 
Wewe utopolo huwez kuelewa kitu,,
Ngoja tumalizane na wajukuu wa Mandela.
Tena na wakienda Nusu ,TFF wanapata mgao wanao pata SIMBA
Nikusahihishe mkuu kwenye kila mgao kuanzia kuingia makundi,robo mpaka fainali tff wanachao Tena pesa nzuri tu Sana.
Sasa why wasihamasike kuisurport Simba kwa njia zote wanazoweza ili ifanye vizuri ..
Utopolo hamna kitu kichwan.
 
TFF ina makubaliano na vilabu vinavyowakilisha taifa kwenye mashindano ya CAF kwamba hawatacheza mchezo wowote wa ligi au FA siku 6 kabla ya mechi ya kimataifa.

Sitegemei mtopolo kulitambua hili
 
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
... Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?

KANUNI YA 9
KUAHIRISHA MCHEZO

Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati ya zifuatazo:-
(a) Endapo timu ina wachezaji watano au zaidi katika timu ya Taifa;

(b) Endapo timu inashiriki katika mashindano ya Kimataifa na ina muda usiozidi siku sita kufikia mchezo wa Kimataifa;

(c) Sababu yoyote ya dharura nzito na yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.

(d) Mchezo wowote ulioahirishwa utapangwa tena katika tarehe itakayoamuliwa na TFF isipokuwa kama ni dharura ya mvua au dharura yoyote nyingine basi mchezo huo utachezwa siku inayofuata iwapo ratiba inaruhusu
 
... Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Nilichoelewa kutoka kwako ni kwamba TFF inaipendelea Simba dhidi ya Kaizer Chiefs, na inaihujumu Kaizer Chiefs. TFF inaahirisha mchezo wa Simba lakini TFF hiyo hiyo inailazimisha Kaizer Chiefs icheze mechi. TFF ilitakiwa ihakikishe ratiba za Simba na Kaizer Chiefs zinafanana. Kama Kaizer Chiefs amecheza tarehe 12 Mei na Moroka Swallows, kwa nini Simba asicheze na Coastal Union? TFF inataka Simba ichukue ubingwa wa ligi, wakati huo huo inaikandamiza Kaizer Chiefs isichukue ubingwa wa ligi
 
TFF ya Makia sijawahi kuikubali hata siku 1 labda ile TFF ya Malinzi.. Huyu karia na genge lake pale ni Wasenge square sijui wanakazwa na MO
 
Back
Top Bottom