TFF wanaipendelea Simba SC, ukweli huu hapa


Unadhani kumuelimisha Uto mpaka akakuelewa ni jambo rahisi?
 
Uwe walau UNASIKILIZA/KUSOMA taarifa zitolewazo. Kulikuwa na shida ya USAFIRI dada mvaa vjora na madela weeee

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Umeonesha unashabikia timu gani ulipofungua na sentensi ya kujitetea.
Yanga washinde tu mechi zao zote.... Simba hata akiwa na viporo 20 havitakuwa na madhara. Kama Simba wangecheza na kushinda hakika nakuambia Yanga mngekuwa na presha kubwa hadi mngepoteza mchezo wa leo... Japo mtapoteza kweli.
Isitoshe Yanga akishinda mechi zake si atatangazwa bingwa kabla Simba hajamaliza viporo? Au ndio ile hofu kuwa KIPORO CHA TAJIRI HAKICHACHI?
 
Acha kufanganya watu, haiwezekani mtzanzania mfuatiliaji wa soka eti sio simba wala yanga.
Haya wewe utopolo, tuambie tff wanaipendeleaje simba huko champions ligi kina al ahly wanachezea pia?
 
Alafu hapo uto haoni kuwa simba ikiprwa muda wa kutosha kujiandaa inaenda wabeba na wao kwa kufanya vizuri..uto ni uto tu..
 
Alafu hapo uto haoni kuwa simba ikiprwa muda wa kutosha kujiandaa inaenda wabeba na wao kwa kufanya vizuri..uto ni uto tu..
Mkuu utopolo hawajawai kua na akili timamu..
Nahisi mwiko ulowakaa uko nyuma umeondoka na akili zao zote
 
Mkuu utopolo hawajawai kua na akili timamu..
Nahisi mwiko ulowakaa uko nyuma umeondoka na akili zao zote

Yani wamechomolewa akili wakachomekwa Mwiko.

Sikuhizi Uto wana kauli zao mbili:-

1) Wakiamua kuiponda Simba utasikia "MIMI SISHABIKII SIMBA WALA YANGA".

2) Wakiamu kuikosoa Simba na kuisifu Yanga utawasikia wanaanza na "MIMI SIMBA DAMU LAKINI........"

Yani hizo ndiyo kauli zao za sikuhizi ambazo zilitawala wiki iliyopita baada ya Yanga kukimbia Uwanjani.
 
Na hao ndo deportivo la utopolo mkuu.
 
hiyo kanuni 9c ndiyo ilotumika siku ile yanga alipotoroka taifa
 
Washabiki wa Yanga nawaambia tena ujinga wenu ndio utaifanya simba ichukue tena kombe msimu wa 2021/2022. Nilicheka sana mlipobadilisha gia angani eti simba itachukua kombe ila haitaifunga yanga mechi ya iliyopita. Yaan wimbo ulikua sio ubingwa tena baada ya msemaji wao wa wape salamu alivyojitapa kwenye kipind fulani cha habari. Wanayanga kabaneni na viongozi wenu acheni porojo mnazopewa
 
Mkuu, kwa wanayovyotuwakilisha Simba kwenye CAF champions league waache tu wapendelewe maana wanatuletea faida nyingi. Mojawapo ni kuongeza idadi ya Timu za Tanzania kwenye mashindno ya CAF mwaka ujao; pili wanaitangaza Tanzania ulimwengungu kupitia 'VISIT TANZANIA'. Kwa hali hiyo hata ungewapeleka Dr. Msola, Mwakalebela, Eng. Hersi kuongoza TFF lazima wangeipendelea tu SImba.

Vv
 
Kwahiyo kile kipigo mmepokea jana ndio kilifanya mkavunja mechi na Yanga kicha mkawahi kuondoka.
 
Naona kuhairisha mechi zenu mbili za ligi kumewasidia Sana huko kwa madibaa, hamjapotea njia.
 
Simba ni bingwa na wanaiwakilisha nchi hivyo lazima wapate upendeleo.
 
Utopolo ni Utopolo tu hawezi jificha.
Embu fafanua zaidi ueleweke Simba wamependelewaje,Simba kusafiri bila kucheza na Coastal Union ndo Simba wameshapata points tatu au?
Hivi huko Utopolo kuna mwenye akili timamu hata mmoja nayaona yote mazezeta tupu
 
Ngoja mbumbumbu waje wakiongozwa na yule mbwatukaji wao, wakukabidhi kadi ya uanachama wa Yanga kwa lazima.
Furahieni tu Simba kufungwa huku Azam anawapumulia kichogoni hata nafasi ya pili hampati na Kombe la shirikisho hamchukui.
 
Upumbavu wa TFF na viongoz wa simba ndiyo umeifelisha timu kufuzu nusu fainal, makocha wanaojielewa kama kina Gadiola wanataka mechi nyingi ili timu iwe na momentum, sisi tunapumnzisha timu wiki na zaid kuisubiri mechi muhim!

Mpira wetu unamevamiwa na viongozi washamba wa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…